Yeremia 50:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Nao Ukaldayo utakuwa mateka; wote wautekao watashiba, asema BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Nchi ya Wakaldayo itaporwa, na hao watakaoipora wataridhika. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Nchi ya Wakaldayo itaporwa, na hao watakaoipora wataridhika. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Nchi ya Wakaldayo itaporwa, na hao watakaoipora wataridhika. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Kwa hiyo Ukaldayo utatekwa nyara; wote wanaouteka, watapata nyara za kutosha,” asema Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Kwa hiyo Ukaldayo utatekwa nyara; wote wamtekao nyara watapata za kutosha,” asema bwana. Tazama sura |