Yeremia 50:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Neno hili ndilo alilosema BWANA, kuhusu Babeli na kuhusu Wakaldayo, kwa kinywa cha Yeremia, nabii. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Neno la Mwenyezi-Mungu alilosema kwa njia ya nabii Yeremia kuhusu nchi ya Babuloni na nchi ya Wakaldayo: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Neno la Mwenyezi-Mungu alilosema kwa njia ya nabii Yeremia kuhusu nchi ya Babuloni na nchi ya Wakaldayo: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Neno la Mwenyezi-Mungu alilosema kwa njia ya nabii Yeremia kuhusu nchi ya Babuloni na nchi ya Wakaldayo: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Hili ndilo neno alilosema Mwenyezi Mungu kupitia nabii Yeremia kuhusu Babeli na nchi ya Wakaldayo: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Hili ndilo neno alilosema bwana kupitia nabii Yeremia kuhusu Babeli na nchi ya Wakaldayo: Tazama sura |