Yeremia 5:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Nao watakula mavuno yako, na mkate wako, ambao iliwapasa wana wako na binti zako kuula; watakula makundi yako ya kondoo na ya ng'ombe; watakula mizabibu yako na mitini yako; wataiharibu miji yako yenye boma, uliyokuwa ukiitumainia, naam, wataiharibu kwa upanga. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Watayala mazao yenu na chakula chenu; watawamaliza watoto wenu wa kike na wa kiume. Watachinja makundi yenu ya kondoo na ng'ombe; wataiharibu mizabibu yenu na mitini yenu. Miji yenu ya ngome mnayoitegemea, wataiharibu kwa silaha zao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Watayala mazao yenu na chakula chenu; watawamaliza watoto wenu wa kike na wa kiume. Watachinja makundi yenu ya kondoo na ng'ombe; wataiharibu mizabibu yenu na mitini yenu. Miji yenu ya ngome mnayoitegemea, wataiharibu kwa silaha zao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Watayala mazao yenu na chakula chenu; watawamaliza watoto wenu wa kike na wa kiume. Watachinja makundi yenu ya kondoo na ng'ombe; wataiharibu mizabibu yenu na mitini yenu. Miji yenu ya ngome mnayoitegemea, wataiharibu kwa silaha zao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Watayaangamiza mazao yenu na chakula chenu, watawaangamiza wana wenu wa kiume na wa kike; watayaangamiza makundi yenu ya kondoo na ya ng’ombe, wataiangamiza mizabibu yenu na mitini yenu. Kwa upanga wataiangamiza miji yenye ngome mliyoitumainia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Watayaangamiza mazao yenu na chakula chenu, wataangamiza wana wenu na mabinti zenu; wataangamiza makundi yenu ya kondoo na ya ng’ombe, wataangamiza mizabibu yenu na mitini yenu. Kwa upanga wataangamiza miji yenye maboma mliyoitumainia. Tazama sura |