Yeremia 5:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 na manabii watakuwa upepo, wala neno lake halimo ndani yao; basi ndivyo watakavyotendwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Manabii si kitu, ni upepo tu; maana neno lake Mungu halimo ndani yao.” Basi hayo na yawapate wao wenyewe! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Manabii si kitu, ni upepo tu; maana neno lake Mungu halimo ndani yao.” Basi hayo na yawapate wao wenyewe! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Manabii si kitu, ni upepo tu; maana neno lake Mungu halimo ndani yao.” Basi hayo na yawapate wao wenyewe! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Manabii ni upepo tu, wala neno halimo ndani yao; kwa hiyo hayo wayasemayo na yatendeke kwao.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Manabii ni upepo tu, wala neno halimo ndani yao, kwa hiyo hayo wayasemayo na yatendeke kwao.” Tazama sura |