Yeremia 49:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Na ngamia wao watakuwa mateka, na wingi wa makundi yao utakuwa nyara; nami nitawatawanya katika pande zote watu wale wanyoao denge; nami nitaleta msiba wao toka pande zao zote, asema BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 “Ngamia wao watatekwa mifugo yao itachukuliwa mateka. Nitawatawanya kila upande, watu wale wanaonyoa denge. Nitawaletea maafa kutoka kila upande. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 “Ngamia wao watatekwa mifugo yao itachukuliwa mateka. Nitawatawanya kila upande, watu wale wanaonyoa denge. Nitawaletea maafa kutoka kila upande. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 “Ngamia wao watatekwa mifugo yao itachukuliwa mateka. Nitawatawanya kila upande, watu wale wanaonyoa denge. Nitawaletea maafa kutoka kila upande. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Ngamia wao watakuwa nyara, nayo mifugo yao itatekwa. Walio maeneo ya mbali nitawatawanya pande zote, nami nitaleta maafa juu yao kutoka kila upande,” asema Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Ngamia wao watakuwa nyara, nayo makundi yao makubwa ya ng’ombe yatatekwa. Wale walio maeneo ya mbali nitawatawanya pande zote, nami nitaleta maafa juu yao kutoka kila upande,” asema bwana. Tazama sura |