Yeremia 49:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Nami nitawasha moto katika ukuta wa Dameski, nao utayateketeza majumba ya Ben-hadadi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Nitawasha moto katika kuta za Damasko, nao utateketeza ngome za mfalme Ben-hadadi.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Nitawasha moto katika kuta za Damasko, nao utateketeza ngome za mfalme Ben-hadadi.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Nitawasha moto katika kuta za Damasko, nao utateketeza ngome za mfalme Ben-hadadi.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 “Nitatia moto kuta za Dameski; utaangamiza ngome za Ben-Hadadi.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 “Nitatia moto kuta za Dameski; utaangamiza ngome za Ben-Hadadi.” Tazama sura |