Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yeremia 49:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

26 Kwa hiyo vijana wake wataanguka katika njia zake kuu, na watu wote wa vita watanyamazishwa katika siku hiyo, asema BWANA wa majeshi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Basi vijana wake wataanguka viwanjani mwake, askari wake wote wataangamizwa siku hiyo. Mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi nimesema.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Basi vijana wake wataanguka viwanjani mwake, askari wake wote wataangamizwa siku hiyo. Mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi nimesema.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Basi vijana wake wataanguka viwanjani mwake, askari wake wote wataangamizwa siku hiyo. Mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi nimesema.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Hakika, vijana wake wanaume wataanguka barabarani; askari wake wote watanyamazishwa siku hiyo,” asema Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Hakika, vijana wake wanaume wataanguka barabarani; askari wake wote watanyamazishwa siku hiyo,” asema bwana Mwenye Nguvu Zote.

Tazama sura Nakili




Yeremia 49:26
7 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa sababu hiyo BWANA wa majeshi asema hivi, Tazama, nitawaadhibu watu hawa; vijana watakufa kwa upanga; wana wao na binti zao watakufa kwa njaa;


Kwa sababu hiyo vijana wake wataanguka katika njia zake kuu, na watu wake wa vita, wote pia, watanyamazishwa katika siku hiyo, asema BWANA.


Kwa maana mauti imepandia madirishani mwetu, imeingia majumbani mwetu; Ipate kuwakatilia mbali watoto walio nje, na vijana katika njia kuu.


Kijana na mzee hulala chini Katika njia kuu; Wasichana wangu na wavulana wangu Wameanguka kwa upanga; Umewaua katika siku ya hasira yako; Umeua, wala hukuona huruma.


Mali zako, na bidhaa yako, na utajiri wako, wanamaji wako, na rubani zako, na wenye kutia kalafati wako, na wafanya biashara wako, na watu wako wa vita wote, walio ndani yako, pamoja na jeshi lako lote lililo ndani yako, wataanguka katika moyo wa bahari katika siku ya kuangamia kwako.


Nimewaletea tauni, kama tauni ya Misri; vijana wenu nimewaua kwa upanga, na farasi wenu nimewachukulia mbali; nami nimeupandisha uvundo wa kambi zenu na kuuingiza katika mianzi ya pua zenu; lakini hamkunirudia mimi, asema BWANA.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo