Yeremia 49:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Nchi yatetemeka kwa sauti ya kuanguka kwao; Kuna kilio, sauti yake yasikiwa katika Bahari ya Shamu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Kwa kishindo cha kuanguka kwao, dunia itatetemeka; sauti ya kilio chao itasikika mpaka bahari ya Shamu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Kwa kishindo cha kuanguka kwao, dunia itatetemeka; sauti ya kilio chao itasikika mpaka bahari ya Shamu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Kwa kishindo cha kuanguka kwao, dunia itatetemeka; sauti ya kilio chao itasikika mpaka bahari ya Shamu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Kwa sauti ya anguko lao, dunia itatetemeka. Kilio chao kitasikika hadi Bahari ya Shamu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Kwa sauti ya anguko lao, dunia itatetemeka. Kilio chao kitasikika hadi Bahari ya Shamu. Tazama sura |