Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yeremia 48:46 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

46 Ole wako! Ee Moabu, Watu wa Kemoshi wamepotea; Maana wana wako wamechukuliwa mateka, Na binti zako wamekwenda utumwani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

46 Ole wenu watu wa Moabu! Watu wa Kemoshi sasa mmeangamizwa, wana wenu wamechukuliwa mateka, binti zenu wamepelekwa uhamishoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

46 Ole wenu watu wa Moabu! Watu wa Kemoshi sasa mmeangamizwa, wana wenu wamechukuliwa mateka, binti zenu wamepelekwa uhamishoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

46 Ole wenu watu wa Moabu! Watu wa Kemoshi sasa mmeangamizwa, wana wenu wamechukuliwa mateka, binti zenu wamepelekwa uhamishoni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

46 Ole wako, ee Moabu! Watu wa Kemoshi wameangamizwa; watoto wako wa kiume wamepelekwa uhamishoni, na binti zako wamechukuliwa mateka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

46 Ole wako, ee Moabu! Watu wa Kemoshi wameangamizwa; wana wako wamepelekwa uhamishoni na binti zako wamechukuliwa mateka.

Tazama sura Nakili




Yeremia 48:46
7 Marejeleo ya Msalaba  

Sulemani akamjengea Kemoshi, chukizo la Wamoabi, mahali pa juu, katika mlima uliokabili Yerusalemu, na Moleki, chukizo la wana wa Amoni.


Na mahali pa juu palipokuwapo mbele ya Yerusalemu, palipokuwa upande wa kulia wa mlima wa uharibifu, alipopajenga Sulemani, mfalme wa Israeli, kwa Ashtorethi, chukizo la Wasidoni, na Kemoshi, chukizo la Moabu, na Milkomu, chukizo la wana wa Amoni, mfalme akapanajisi.


Na binti za Moabu watakuwa kama ndege warukao huku na huko, kama kiota cha ndege waliotiwa hofu, kwenye vivuko vya Arnoni.


Na Moabu ataona haya kwa ajili ya Kemoshi, kama nyumba ya Israeli ilivyoona haya kwa ajili ya Betheli, tegemeo lao.


Maana, kwa kuwa umeyatumainia matendo yako, na hazina zako, wewe nawe utatwaliwa; na Kemoshi atatoka aende katika uhamisho, makuhani wake na wakuu wake pamoja.


Ole wako Moabu! Umeangamia, enyi watu wa Kemoshi; Amewatoa wanawe kuwa wakimbizi, Na binti zake waende utumwani, Wamwendee Sihoni mfalme wa Waamori.


Je! Wewe hutakitamalaki hicho ambacho huyo Kemoshi mungu wako akupa kukitamalaki? Kadhalika si sisi ndio watu wa kutamalaki vyote ambavyo BWANA, Mungu wetu ametwaa kwa manufaa yetu?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo