Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yeremia 48:43 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

43 Hofu, na shimo, na mtego, zaja juu yako, Ee mwenyeji wa Moabu, asema BWANA.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

43 Kitisho, mashimo na mtego, vinawasubiri enyi watu wa Moabu. Nasema mimi Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

43 Kitisho, mashimo na mtego, vinawasubiri enyi watu wa Moabu. Nasema mimi Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

43 Kitisho, mashimo na mtego, vinawasubiri enyi watu wa Moabu. Nasema mimi Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

43 Hofu kuu, shimo na mtego vinawangojea, enyi watu wa Moabu,” asema Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

43 Hofu kuu, shimo na mtego vinawangojea, enyi watu wa Moabu,” asema bwana.

Tazama sura Nakili




Yeremia 48:43
6 Marejeleo ya Msalaba  

Awanyeshee wasio haki mitego, Moto na kiberiti na upepo wa joto Na viwe fungu la kikombe chao.


Tazama, nitaleta hofu juu yako, asema Bwana, BWANA wa majeshi, itakayotoka kwa wote wakuzungukao; nanyi mtafukuzwa nje, kila mtu mbali kabisa, wala hapana mtu wa kuwakusanya wapoteao.


Nimekutegea mtego, Ee Babeli, nawe ukanaswa, nawe ulikuwa huna habari; umeonekana, ukakamatwa, kwa sababu ulishindana na BWANA.


Hofu imetujilia na shimo, Ukiwa na uharibifu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo