Yeremia 48:41 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC41 Miji imetwaliwa, ngome zimeshambuliwa, na mioyo ya mashujaa wa Moabu siku hiyo itakuwa kama moyo wa mwanamke akiwa katika uchungu wa kujifungua. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema41 Miji yake itatekwa, ngome zitachukuliwa. Siku hiyo mioyo ya wanajeshi wa Moabu, itaogopa kama mwanamke anayejifungua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND41 Miji yake itatekwa, ngome zitachukuliwa. Siku hiyo mioyo ya wanajeshi wa Moabu, itaogopa kama mwanamke anayejifungua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza41 Miji yake itatekwa, ngome zitachukuliwa. Siku hiyo mioyo ya wanajeshi wa Moabu, itaogopa kama mwanamke anayejifungua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu41 Miji itatekwa na ngome zake zitatwaliwa. Katika siku hiyo, mioyo ya mashujaa wa Moabu itakuwa kama moyo wa mwanamke katika uchungu wa kuzaa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu41 Miji itatekwa na ngome zake zitatwaliwa. Katika siku hiyo, mioyo ya mashujaa wa Moabu itakuwa kama moyo wa mwanamke katika utungu wa kuzaa. Tazama sura |