Yeremia 48:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC33 Furaha na shangwe zimeondoshwa, katika shamba lizaalo sana, na katika nchi ya Moabu; nami nimeikomesha divai katika mashinikizo; hapana mtu atakayekanyaga zabibu kwa shangwe; shangwe ile itakuwa si shangwe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Furaha na shangwe zimeondolewa kutoka nchi ya Moabu yenye rutuba. Nimeikomesha divai kutoka mashinikizo hakuna mtu anayekamua zabibu kwa shangwe; kelele zinazosikika si za shangwe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Furaha na shangwe zimeondolewa kutoka nchi ya Moabu yenye rutuba. Nimeikomesha divai kutoka mashinikizo hakuna mtu anayekamua zabibu kwa shangwe; kelele zinazosikika si za shangwe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Furaha na shangwe zimeondolewa kutoka nchi ya Moabu yenye rutuba. Nimeikomesha divai kutoka mashinikizo hakuna mtu anayekamua zabibu kwa shangwe; kelele zinazosikika si za shangwe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 Shangwe na furaha vimetoweka kutoka bustani na mashamba ya Moabu. Nimekomesha kutiririka kwa divai kutoka mashinikizo; hakuna hata mmoja ayakanyagaye kwa kelele za shangwe. Ingawa kuna kelele, sio kelele za shangwe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 Shangwe na furaha vimetoweka kutoka bustani na mashamba ya Moabu. Nimekomesha kutiririka kwa divai kutoka mashinikizo; hakuna hata mmoja ayakanyagaye kwa kelele za shangwe. Ingawa kuna kelele, sio kelele za shangwe. Tazama sura |