Yeremia 48:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC31 Kwa sababu hiyo nitamwombolezea Moabu, naam, nitapiga kelele kwa ajili ya Moabu yote; nitawaombolezea watu wa Kir-heresi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Kwa hiyo ninaomboleza juu ya Moabu, ninalia kwa ajili ya Wamoabu wote, naomboleza juu ya watu wa Kir-heresi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Kwa hiyo ninaomboleza juu ya Moabu, ninalia kwa ajili ya Wamoabu wote, naomboleza juu ya watu wa Kir-heresi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Kwa hiyo ninaomboleza juu ya Moabu, ninalia kwa ajili ya Wamoabu wote, naomboleza juu ya watu wa Kir-heresi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Kwa hiyo namlilia Moabu, kwa ajili ya Moabu yote ninalia, ninaomboleza kwa ajili ya watu wa Kir-Haresethi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Kwa hiyo namlilia Moabu, kwa ajili ya Moabu yote ninalia, ninaomboleza kwa ajili ya watu wa Kir-Haresethi. Tazama sura |