Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yeremia 48:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

30 Najua ghadhabu yake, asema BWANA, ya kuwa si kitu; majisifu yake hayakutenda neno lolote.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 “Nami Mwenyezi-Mungu nasema: Najua ufidhuli wake; Majivuno yake ni ya bure, na matendo yake si kitu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 “Nami Mwenyezi-Mungu nasema: Najua ufidhuli wake; Majivuno yake ni ya bure, na matendo yake si kitu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 “Nami Mwenyezi-Mungu nasema: Najua ufidhuli wake; Majivuno yake ni ya bure, na matendo yake si kitu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Ninaujua ujeuri wake, lakini ni bure,” asema Mwenyezi Mungu, “nako kujisifu kwake hakumsaidii chochote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Ninaujua ujeuri wake, lakini ni bure,” asema bwana, “nako kujisifu kwake hakumsaidii chochote.

Tazama sura Nakili




Yeremia 48:30
7 Marejeleo ya Msalaba  

BWANA huyabatilisha mashauri ya mataifa, Huitangua mipango ya watu.


Maana siko mashariki wala magharibi, Wala nyikani itokako heshima.


Hapana hekima, wala ufahamu, Wala shauri, juu ya BWANA.


Tumesikia habari za kiburi cha Moabu, ya kwamba ni mwenye kiburi kingi; habari za majivuno yake, na kiburi chake, na ghadhabu yake; majivuno yake si kitu.


Upanga uko juu ya hao wajisifuo, nao watapumbazika; upanga uko juu ya mashujaa wake, nao watafadhaika.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo