Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yeremia 48:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

28 Enyi mkaao Moabu, ondokeni mijini, Nendeni mkakae majabalini; Mkawe kama njiwa atengenezaye kiota chake Kandoni mwa mdomo wa shimo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 “Enyi wenyeji wa Moabu, tokeni mijini, mkakae mapangoni! Mwigeni njiwa ajengaye kiota penye genge.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 “Enyi wenyeji wa Moabu, tokeni mijini, mkakae mapangoni! Mwigeni njiwa ajengaye kiota penye genge.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 “Enyi wenyeji wa Moabu, tokeni mijini, mkakae mapangoni! Mwigeni njiwa ajengaye kiota penye genge.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Ondokeni miji yenu, mkaishi katikati ya miamba, enyi mnaoishi Moabu. Kuweni kama njiwa ambaye hutengeneza kiota chake kwenye mlango wa pango.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Ondokeni kwenye miji yenu, mkaishi katikati ya miamba, enyi mnaoishi Moabu. Kuweni kama huwa ambaye hutengeneza kiota chake kwenye mdomo wa pango.

Tazama sura Nakili




Yeremia 48:28
10 Marejeleo ya Msalaba  

Akangoja na siku saba tena, akamtoa yule njiwa; naye asimrudie tena kamwe.


Hua wangu, mafichoni mwa jabali, Katika sitara za, magenge Nitazame uso wako, nisikie sauti yako, Maana sauti yako ni tamu na uso wako unapendeza.


Na watu wataingia ndani ya pango za majabali, na ndani ya mashimo ya nchi, mbele za utisho wa BWANA na utukufu wa enzi yake, atakapoondoka ili aitetemeshe mno dunia.


Mpe Moabu mabawa, apate kuruka na kwenda zake; na miji yake itakuwa ukiwa, isiwe na mtu wa kukaa ndani yake.


Kuhusu kuogofya kwako, Kiburi cha moyo wako kimekudanganya, Wewe ukaaye katika pango za majabali, Ushikaye kilele cha milima; Ujapofanya kiota chako juu sana kama tai, Nitakushusha kutoka huko; asema BWANA.


Kimbieni, rudini nyuma, kaeni chini sana, enyi mnaokaa Dedani; maana nitaleta msiba wa Esau juu yake, wakati nitakapomwangalia.


Mkono wa Midiani ulikuwa na nguvu juu ya Israeli; tena kwa sababu ya Midiani wana wa Israeli walijifanyia hayo mashimo yaliyo milimani, na hayo mapango, na hizo ngome.


Hata Waisraeli walipoona ya kuwa wako katika dhiki, (maana watu walifadhaishwa), ndipo hao watu wakajificha katika mapango, na katika vichaka, na katika miamba, na katika mashimo, na katika mabirika.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo