Yeremia 48:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Kuhusu Moabu. BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, Ole wake Nebo! Kwa maana umeharibika; Kiriathaimu umeaibishwa, umetwaliwa; Misgabu umeaibishwa, nao umebomolewa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Mwenyezi-Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi: “Ole watu wa Nebo, maana mji wake umeharibiwa! Kiriathaimu umeaibishwa, umetekwa, ngome yake imebomolewa mbali; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Mwenyezi-Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi: “Ole watu wa Nebo, maana mji wake umeharibiwa! Kiriathaimu umeaibishwa, umetekwa, ngome yake imebomolewa mbali; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Mwenyezi-Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi: “Ole watu wa Nebo, maana mji wake umeharibiwa! Kiriathaimu umeaibishwa, umetekwa, ngome yake imebomolewa mbali; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Kuhusu Moabu: Hili ndilo Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, Mungu wa Israeli, asemalo: “Ole wake Nebo, kwa maana utaharibiwa. Kiriathaimu utaaibishwa na kutekwa; Misgabu itaaibishwa na kuvunjavunjwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Kuhusu Moabu: Hili ndilo bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo: “Ole wake Nebo, kwa maana utaharibiwa. Kiriathaimu utaaibishwa na kutekwa; Misgabu itaaibishwa na kuvunjavunjwa. Tazama sura |