Yeremia 47:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Utawezaje kutulia, Ikiwa BWANA amekupa agizo? Juu ya Ashkeloni na juu ya pwani, Ndipo alipoyaamuru hayo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Lakini utawezaje kutulia, hali Mwenyezi-Mungu ameupa kazi? Ameuamuru ushambulie mji wa Ashkeloni na watu wanaoishi pwani.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Lakini utawezaje kutulia, hali Mwenyezi-Mungu ameupa kazi? Ameuamuru ushambulie mji wa Ashkeloni na watu wanaoishi pwani.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Lakini utawezaje kutulia, hali Mwenyezi-Mungu ameupa kazi? Ameuamuru ushambulie mji wa Ashkeloni na watu wanaoishi pwani.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Lakini upanga utatuliaje wakati Mwenyezi Mungu ameuamuru, wakati ameuagiza kuishambulia Ashkeloni pamoja na pwani yake?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Lakini upanga utatuliaje wakati bwana ameuamuru, wakati ameuagiza kuishambulia Ashkeloni pamoja na pwani yake?” Tazama sura |