Yeremia 46:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Binti ya Misri ataaibishwa; Atatiwa mikononi mwa watu wa kaskazini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Watu wa Misri wataaibishwa, watatiwa mikononi mwa watu kutoka kaskazini.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Watu wa Misri wataaibishwa, watatiwa mikononi mwa watu kutoka kaskazini.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Watu wa Misri wataaibishwa, watatiwa mikononi mwa watu kutoka kaskazini.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Binti Misri ataaibishwa, atatiwa mikononi mwa watu wa kaskazini.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Binti wa Misri ataaibishwa, atatiwa mikononi mwa watu wa kaskazini.” Tazama sura |