Yeremia 46:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Misri ni mtamba mzuri sana, lakini uharibifu umekuja, Umekuja utokao pande za kaskazini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Misri ni kama mtamba mzuri wa ng'ombe, lakini kipanga kutoka kaskazini amemvamia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Misri ni kama mtamba mzuri wa ng'ombe, lakini kipanga kutoka kaskazini amemvamia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Misri ni kama mtamba mzuri wa ng'ombe, lakini kipanga kutoka kaskazini amemvamia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 “Misri ni mtamba mzuri, lakini mbung’o anakuja dhidi yake kutoka kaskazini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 “Misri ni mtamba mzuri, lakini kipanga anakuja dhidi yake kutoka kaskazini. Tazama sura |
angalieni, nitatuma watu na kuzitwaa jamaa zote za upande wa kaskazini, asema BWANA, nami nitatuma ujumbe kwa Nebukadneza, mfalme wa Babeli, mtumishi wangu, nami nitawaleta juu ya nchi hii, na juu yao wakaao ndani yake, na juu ya mataifa haya yote yaliyoko pande zote; nami nitawaangamiza kabisa, na kuwafanya kitu cha kushangaza, na kitu cha kuzomewa, na ukiwa wa daima.