Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yeremia 46:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

16 Aliwakwaza wengi, naam, wakaangukiana wao kwa wao; wakasema, Haya! Na tuondoke, tukarudi kwa watu wetu wenyewe, hadi nchi tuliyozaliwa, tuukimbie upanga unaotuonea.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Wengi walijikwaa, wakaanguka, kisha wakaambiana wao kwa wao: ‘Simameni, tuwaendee watu wetu, turudi katika nchi yetu, tuukimbie upanga wa adui.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Wengi walijikwaa, wakaanguka, kisha wakaambiana wao kwa wao: ‘Simameni, tuwaendee watu wetu, turudi katika nchi yetu, tuukimbie upanga wa adui.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Wengi walijikwaa, wakaanguka, kisha wakaambiana wao kwa wao: ‘Simameni, tuwaendee watu wetu, turudi katika nchi yetu, tuukimbie upanga wa adui.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Watajikwaa mara kwa mara, wataangukiana wao kwa wao. Watasema, ‘Amka, turudi kwa watu wetu na nchi yetu, mbali na upanga wa mtesi.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Watajikwaa mara kwa mara, wataangukiana wao kwa wao. Watasema, ‘Amka, turudi kwa watu wetu na nchi yetu, mbali na upanga wa mtesi.’

Tazama sura Nakili

Yeremia 46:16
5 Marejeleo ya Msalaba  

Na askari wake waliojiwa, walio kati yake, Ni kama ndama walionona malishoni; Maana wao nao wamerudi nyuma, Wamekimbia wote pamoja, wasisimame; Maana siku ya msiba wao imewafikia, Wakati wa kujiliwa kwao.

Mtu mwepesi asikimbie, wala shujaa asiokoke; pande za kaskazini karibu na mto Frati wamejikwaa na kuanguka.

Mpanzi mkatilie mbali na Babeli, Naye ashikaye mundu wakati wa mavuno; Kwa sababu ya kuuogopa upanga uoneao, Watageuka kila mtu kwa watu wake, Nao wataikimbilia kila mmoja nchi yake.

Tungependa kuuponya Babeli, Lakini haukuponyeka; Mwacheni, nasi twendeni zetu, Kila mtu hata nchi yake mwenyewe; Maana hukumu yake inafika hata mbinguni, Nayo imeinuliwa kufikia mawinguni.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo