Yeremia 46:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Neno hili ndilo ambalo BWANA alimwambia Yeremia, nabii, kueleza jinsi Nebukadneza, mfalme wa Babeli, atakavyokuja na kuipiga nchi ya Misri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Neno ambalo Mwenyezi-Mungu alimwambia Yeremia wakati alipofika Nebukadneza mfalme wa Babuloni kuishambulia nchi ya Misri: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Neno ambalo Mwenyezi-Mungu alimwambia Yeremia wakati alipofika Nebukadneza mfalme wa Babuloni kuishambulia nchi ya Misri: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Neno ambalo Mwenyezi-Mungu alimwambia Yeremia wakati alipofika Nebukadneza mfalme wa Babuloni kuishambulia nchi ya Misri: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Huu ndio ujumbe ambao Mwenyezi Mungu alimwambia nabii Yeremia kuhusu kuja kwa Nebukadneza, mfalme wa Babeli ili kuishambulia Misri: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Huu ndio ujumbe bwana aliomwambia nabii Yeremia kuhusu kuja kwa Nebukadneza mfalme wa Babeli ili kuishambulia Misri: Tazama sura |