Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yeremia 43:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

8 Ndipo neno la BWANA likamjia Yeremia huko Tapanesi, kusema,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Basi neno la Mwenyezi-Mungu likamjia Yeremia huko Tahpanesi:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Basi neno la Mwenyezi-Mungu likamjia Yeremia huko Tahpanesi:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Basi neno la Mwenyezi-Mungu likamjia Yeremia huko Tahpanesi:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Huko Tapanesi neno la Mwenyezi Mungu likamjia Yeremia kusema:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Huko Tahpanhesi neno la bwana likamjia Yeremia kusema:

Tazama sura Nakili




Yeremia 43:8
11 Marejeleo ya Msalaba  

Niende wapi nijiepushe na roho yako? Niende wapi niukimbie uso wako?


Tena wana wa Nofu na Tapanesi wamevunja utosi wa kichwa chako.


Twaa mawe makubwa mikononi mwako, ukayafiche ndani ya chokaa ya kazi ya matofali, penye maingilio ya nyumba ya Farao huko Tapanesi, machoni pa watu wa Yuda;


Neno lililomjia Yeremia, kuhusu Wayahudi wote waliokaa katika nchi ya Misri, waliokaa Migdoli, na Tapanesi, na Nofu, na katika nchi ya Pathrosi, kusema,


Tangazeni habari hii katika Misri, mkaihubiri katika Migdoli, na kuihubiri katika Nofu, na Tapanesi; semeni, Simama, ujitayarishe kwa maana upanga umekula pande zako zote.


Katika mwaka wa kumi, mwezi wa kumi, siku ya kumi na mbili ya mwezi, neno la BWANA likanijia, kusema,


Neno la BWANA likanijia tena, kusema,


Huko Tapanesi nako mchana utakuwa giza, nitakapovunja huko kongwa za Misri, na kiburi cha uwezo wake kitakoma ndani yake, na katika habari zake, wingu litaifunika, na binti zake watakwenda utumwani.


Ikawa katika mwaka wa kumi na mmoja, mwezi wa tatu, siku ya kwanza ya mwezi, neno la BWANA likanijia, kusema,


Ikawa katika mwaka wa kumi na mbili, mwezi wa kumi na mbili, siku ya kwanza ya mwezi, neno la BWANA likanijia, kusema,


Nami katika hiyo nimeteswa hata kufungwa kama mtenda mabaya; lakini neno la Mungu halifungwi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo