Yeremia 42:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 BWANA asema katika habari zenu, enyi mabaki ya Yuda, Msiingie Misri; jueni sana ya kuwa nimewashuhudia hivi leo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Yeremia akawaambia watu: “Enyi Wayahudi mliosalia, Mwenyezi-Mungu aliwaambia msiende Misri. Jueni wazi kwamba leo nimewaonya kuwa Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Yeremia akawaambia watu: “Enyi Wayahudi mliosalia, Mwenyezi-Mungu aliwaambia msiende Misri. Jueni wazi kwamba leo nimewaonya kuwa Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Yeremia akawaambia watu: “Enyi Wayahudi mliosalia, Mwenyezi-Mungu aliwaambia msiende Misri. Jueni wazi kwamba leo nimewaonya kuwa Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 “Enyi mabaki ya Yuda, Mwenyezi Mungu amewaambia, ‘Msiende Misri.’ Hakikisheni jambo hili: Ninawaonya leo Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 “Enyi mabaki ya Yuda, bwana amewaambia, ‘Msiende Misri.’ Hakikisheni jambo hili: Ninawaonya leo Tazama sura |