Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yeremia 42:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 Lakini mkisema, Hatutaki kukaa katika nchi hii; msiitii sauti ya BWANA, Mungu wenu;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 “Lakini mkisema: ‘Hatutaki kubaki katika nchi hii,’ na hivyo mkaacha kutii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 “Lakini mkisema: ‘Hatutaki kubaki katika nchi hii,’ na hivyo mkaacha kutii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 “Lakini mkisema: ‘Hatutaki kubaki katika nchi hii,’ na hivyo mkaacha kutii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 “Lakini mkisema, ‘Hatutakaa katika nchi hii,’ hivyo mkaacha kumtii Mwenyezi Mungu, Mungu wenu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 “Hata hivyo, kama mkisema, ‘Hatutakaa katika nchi hii,’ hivyo mkaacha kumtii bwana Mwenyezi Mungu wenu,

Tazama sura Nakili

Yeremia 42:13
3 Marejeleo ya Msalaba  

Farao akasema, BWANA ni nani, hata niisikilize sauti yake, na kuwapa Israeli ruhusa waende zao? Mimi simjui BWANA, wala sitawapa Israeli ruhusa waende zao.

Ikiwa mtabaki katika nchi hii, ndipo nitawajenga, wala sitawabomoa, nami nitawapanda, wala sitawang'oa; kwa maana nayajutia mabaya niliyowatenda.

Neno lile ulilotuambia kwa jina la BWANA, sisi hatutakusikiliza.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo