Yeremia 41:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Basi, ikawa, watu wote waliokuwa pamoja na Ishmaeli, walipomwona Yohana, mwana wa Karea, na hao makamanda wote wa majeshi waliokuwa pamoja naye, ndipo wakafurahi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Watu wote waliotekwa na Ishmaeli walipomwona Yohanani mwana wa Karea, pamoja na viongozi wote wa majeshi, walifurahi sana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Watu wote waliotekwa na Ishmaeli walipomwona Yohanani mwana wa Karea, pamoja na viongozi wote wa majeshi, walifurahi sana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Watu wote waliotekwa na Ishmaeli walipomwona Yohanani mwana wa Karea, pamoja na viongozi wote wa majeshi, walifurahi sana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Ikawa watu wote waliokuwa na Ishmaeli walipomwona Yohanani mwana wa Karea pamoja na maafisa wa jeshi waliokuwa pamoja naye, wakafurahi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Ikawa watu wote waliokuwa na Ishmaeli walipomwona Yohanani mwana wa Karea pamoja na maafisa wa jeshi waliokuwa pamoja naye, wakafurahi. Tazama sura |