Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yeremia 41:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

12 wakawatwaa watu wote, wakaenda ili kupigana na Ishmaeli, mwana wa Nethania, nao wakampata karibu na maji makuu ya Gibeoni.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 waliwakusanya watu wao wote, wakaenda kupigana na Ishmaeli. Walimkuta penye bwawa kuu lililoko Gibeoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 waliwakusanya watu wao wote, wakaenda kupigana na Ishmaeli. Walimkuta penye bwawa kuu lililoko Gibeoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 waliwakusanya watu wao wote, wakaenda kupigana na Ishmaeli. Walimkuta penye bwawa kuu lililoko Gibeoni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 waliwachukua watu wao wote kwenda kupigana na Ishmaeli mwana wa Nethania. Wakakutana naye karibu na bwawa kubwa huko Gibeoni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 waliwachukua watu wao wote kwenda kupigana na Ishmaeli mwana wa Nethania. Wakakutana naye karibu na bwawa kubwa huko Gibeoni.

Tazama sura Nakili

Yeremia 41:12
5 Marejeleo ya Msalaba  

Huyo Yoabu naye, mwana wa Seruya, na watumishi wa Daudi, wakatoka, wakakutana nao karibu na ziwa la Gibeoni; wakaketi, hawa upande huu wa ziwa, na hawa upande huu wa ziwa.

Basi, ikawa, watu wote waliokuwa pamoja na Ishmaeli, walipomwona Yohana, mwana wa Karea, na hao makamanda wote wa majeshi waliokuwa pamoja naye, ndipo wakafurahi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo