Yeremia 40:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Naye mkuu wa askari walinzi akamtwaa Yeremia, akamwambia, BWANA, Mungu wako, alitamka mabaya haya juu ya mahali hapa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Kapteni wa walinzi alimchukua Yeremia, akamwambia “Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, alitangaza maafa dhidi ya mahali hapa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Kapteni wa walinzi alimchukua Yeremia, akamwambia “Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, alitangaza maafa dhidi ya mahali hapa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Kapteni wa walinzi alimchukua Yeremia, akamwambia “Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, alitangaza maafa dhidi ya mahali hapa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Mkuu wa askari walinzi alipomwona Yeremia, akamwambia, “Mwenyezi Mungu, Mungu wako, aliamuru maafa haya kutokea mahali hapa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Kiongozi wa walinzi alipomwona Yeremia, akamwambia, “bwana Mwenyezi Mungu wako aliamuru maafa haya kwa mahali hapa. Tazama sura |