Yeremia 4:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Maana BWANA awaambia hivi watu wa Yuda na Yerusalemu Ulimeni udongo katika konde zenu, wala msipande mbegu kati ya miiba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Mwenyezi-Mungu awaambia hivi watu wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu: “Limeni mashamba yenu mapya; msipande mbegu zenu penye miiba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Mwenyezi-Mungu awaambia hivi watu wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu: “Limeni mashamba yenu mapya; msipande mbegu zenu penye miiba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Mwenyezi-Mungu awaambia hivi watu wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu: “Limeni mashamba yenu mapya; msipande mbegu zenu penye miiba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu kwa watu wa Yuda na kwa Yerusalemu: “Vunjeni mabonge kwenye mashamba yenu, wala msipande katikati ya miiba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Hili ndilo asemalo bwana kwa watu wa Yuda na kwa Yerusalemu: “Vunjeni mabonge kwenye mashamba yenu, wala msipande katikati ya miiba. Tazama sura |