Yeremia 4:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Njia yako na matendo yako yamekupatia haya; huu ndio uovu wako; kwa maana ni uchungu, hakika unafikia hata moyo wako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Yuda, mwenendo wako na matendo yako yamekuletea hayo. Hayo ndiyo maafa yaliyokupata, tena ni machungu; yamepenya mpaka ndani moyoni mwako.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Yuda, mwenendo wako na matendo yako yamekuletea hayo. Hayo ndiyo maafa yaliyokupata, tena ni machungu; yamepenya mpaka ndani moyoni mwako.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Yuda, mwenendo wako na matendo yako yamekuletea hayo. Hayo ndiyo maafa yaliyokupata, tena ni machungu; yamepenya mpaka ndani moyoni mwako.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 “Mwenendo wako na matendo yako mwenyewe vimeleta haya juu yako. Hii ndiyo adhabu yako. Tazama jinsi ilivyo chungu! Tazama jinsi inavyochoma moyo!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 “Mwenendo wako na matendo yako mwenyewe yameleta haya juu yako. Hii ndiyo adhabu yako. Tazama jinsi ilivyo chungu! Tazama jinsi inavyochoma moyo!” Tazama sura |