Yeremia 4:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 ni upepo wa nguvu kuliko hizo utakaokuja kwa ajili yangu; sasa mimi nitatoa hukumu juu yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 bali ni upepo mkali sana utokao kwangu. Ni mimi Mwenyezi-Mungu nitakayetoa hukumu juu yao.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 bali ni upepo mkali sana utokao kwangu. Ni mimi Mwenyezi-Mungu nitakayetoa hukumu juu yao.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 bali ni upepo mkali sana utokao kwangu. Ni mimi Mwenyezi-Mungu nitakayetoa hukumu juu yao.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 upepo wenye nguvu sana kuliko wa kupepeta na kutakasa utakuja kwa amri yangu. Sasa natangaza hukumu zangu dhidi yao.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 upepo wenye nguvu sana kuliko wa kupepeta na kutakasa utakuja kwa amri yangu. Sasa natangaza hukumu zangu dhidi yao.” Tazama sura |