Yeremia 39:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Nao Wakaldayo wakaiteketeza nyumba ya mfalme, na nyumba za watu kwa moto, wakazibomoa kuta za Yerusalemu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Wakaldayo waliichoma moto ikulu na nyumba za watu; pia walizibomoa kuta za Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Wakaldayo waliichoma moto ikulu na nyumba za watu; pia walizibomoa kuta za Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Wakaldayo waliichoma moto ikulu na nyumba za watu; pia walizibomoa kuta za Yerusalemu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Jeshi la Wakaldayo likachoma moto jumba la kifalme na nyumba za watu, na kuzibomoa kuta za Yerusalemu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Jeshi la Wakaldayo likachoma moto jumba la kifalme na nyumba za watu, na kuzibomoa kuta za Yerusalemu. Tazama sura |