Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yeremia 39:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

15 Basi neno la BWANA likamjia Yeremia, wakati ule alipokuwa amefungwa katika ukumbi wa walinzi, kusema,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia wakati alipokuwa amefungwa katika ukumbi wa walinzi:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia wakati alipokuwa amefungwa katika ukumbi wa walinzi:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia wakati alipokuwa amefungwa katika ukumbi wa walinzi:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Yeremia alipokuwa amezuiliwa katika ua wa walinzi, neno la Mwenyezi Mungu lilimjia kusema:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Wakati Yeremia alipokuwa amezuiliwa katika ua wa walinzi, neno la bwana lilimjia kusema:

Tazama sura Nakili




Yeremia 39:15
8 Marejeleo ya Msalaba  

Nao wakuu wakamkasirikia Yeremia, wakampiga, wakamtia gerezani katika nyumba ya Yonathani, mwandishi; kwa maana ndiyo waliyoifanya kuwa gereza.


Ndipo Sedekia mfalme akatoa amri, wakamtia Yeremia katika ukumbi wa walinzi; wakampa kila siku mkate mmoja uliotoka katika njia ya waokaji, hata mkate wote wa mji ulipokwisha. Basi Yeremia akakaa katika ukumbi wa walinzi.


Basi wakamwinua Yeremia kwa kamba hizo, wakamtoa shimoni; naye Yeremia akakaa katika ukumbi wa walinzi.


Basi Yeremia akakaa katika ukumbi wa walinzi hadi siku ile Yerusalemu ulipotwaliwa.


wakatuma watu wakamwondoa Yeremia katika uwanda wa walinzi, wakamweka katika mikono ya Gedalia, mwana wa Ahikamu, mwana wa Shafani, ili ampeleke nyumbani kwake; basi akakaa pamoja na hao watu.


Nami katika hiyo nimeteswa hata kufungwa kama mtenda mabaya; lakini neno la Mungu halifungwi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo