Yeremia 39:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Mtwae, umtunze sana, wala usimtende neno baya lolote; lakini umtendee kama atakavyokuambia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 “Mchukue Yeremia, umtunze vema wala usimdhuru; mtendee kama anavyokuambia.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 “Mchukue Yeremia, umtunze vema wala usimdhuru; mtendee kama anavyokuambia.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 “Mchukue Yeremia, umtunze vema wala usimdhuru; mtendee kama anavyokuambia.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 “Mchukue umtunze. Usimdhuru, lakini umfanyie chochote anachotaka.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 “Mchukue umtunze. Usimdhuru, lakini umfanyie chochote anachotaka.” Tazama sura |
Na sasa, tazama, nakufungulia leo minyororo hii iliyo mikononi mwako. Kama ukiona ni vema kwenda Babeli pamoja nami, haya! Njoo, nami nitakutunza sana; lakini kama ukiona ni vibaya kwenda Babeli pamoja nami, basi, acha; tazama, nchi yote iko mbele yako; palipo pema machoni pako na pa kukufaa, nenda huko.