Yeremia 38:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Ndipo Sedekia akamwambia Yeremia, Mtu yeyote asipate habari ya maneno haya, nawe hutakufa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Sedekia akamwambia Yeremia: “Mtu yeyote asijue habari hizi, nawe hutauawa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Sedekia akamwambia Yeremia: “Mtu yeyote asijue habari hizi, nawe hutauawa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Sedekia akamwambia Yeremia: “Mtu yeyote asijue habari hizi, nawe hutauawa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Kisha Sedekia akamwambia Yeremia, “Usiruhusu mtu yeyote ajue kuhusu haya mazungumzo, la sivyo utakufa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Kisha Sedekia akamwambia Yeremia, “Usiruhusu mtu yeyote ajue kuhusu haya mazungumzo, la sivyo utakufa. Tazama sura |