Yeremia 38:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Basi Yeremia akamwambia Sedekia, Kama nikikufunulia neno hilo, je! Hutaniua wewe? Tena, mimi nikikupa ushauri wewe hutanisikiliza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Yeremia akamjibu Sedekia, “Je, nikikuambia ukweli hutaniua? Na kama nikikushauri, hutanisikiliza.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Yeremia akamjibu Sedekia, “Je, nikikuambia ukweli hutaniua? Na kama nikikushauri, hutanisikiliza.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Yeremia akamjibu Sedekia, “Je, nikikuambia ukweli hutaniua? Na kama nikikushauri, hutanisikiliza.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Yeremia akamwambia Sedekia, “Nikikupa jibu, je, hutaniua? Hata nikikupa ushauri, wewe hutanisikiliza.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Yeremia akamwambia Sedekia, “Nikikupa jibu, je, hutaniua? Hata kama nikikupa shauri, wewe hutanisikiliza.” Tazama sura |