Yeremia 37:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Na Wakaldayo watakuja tena, na kupigana na mji huu; nao watautwaa, na kuuteketeza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Na Wakaldayo watarudi kuushambulia mji huu. Watauteka mji na kuuteketeza kwa moto. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Na Wakaldayo watarudi kuushambulia mji huu. Watauteka mji na kuuteketeza kwa moto. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Na Wakaldayo watarudi kuushambulia mji huu. Watauteka mji na kuuteketeza kwa moto. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Kisha Wakaldayo watarudi na kushambulia mji huu, watauteka na kuuchoma moto.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Kisha Wakaldayo watarudi na kushambulia mji huu, watauteka na kuuchoma moto.’ Tazama sura |