Yeremia 37:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Basi Yeremia alikuwa akiingia na kutoka kati ya watu; kwa maana walikuwa hawajamfunga gerezani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Wakati huo, Yeremia alikuwa bado ana uhuru kutembea miongoni mwa watu, maana alikuwa bado hajatiwa gerezani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Wakati huo, Yeremia alikuwa bado ana uhuru kutembea miongoni mwa watu, maana alikuwa bado hajatiwa gerezani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Wakati huo, Yeremia alikuwa bado ana uhuru kutembea miongoni mwa watu, maana alikuwa bado hajatiwa gerezani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Wakati huu Yeremia alikuwa huru kuingia na kutoka katikati ya watu, kwa sababu alikuwa bado hajatiwa gerezani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Wakati huu Yeremia alikuwa huru kuingia na kutoka katikati ya watu, kwa sababu alikuwa bado hajatiwa gerezani. Tazama sura |