Yeremia 37:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Wako wapi sasa manabii wenu waliowatabiria, wakisema, Mfalme wa Babeli hatakuja juu yenu, wala juu ya nchi hii? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Wako wapi manabii waliokutabiria wakisema, ‘Mfalme wa Babuloni hatakushambulia wewe wala nchi hii?’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Wako wapi manabii waliokutabiria wakisema, ‘Mfalme wa Babuloni hatakushambulia wewe wala nchi hii?’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Wako wapi manabii waliokutabiria wakisema, ‘Mfalme wa Babuloni hatakushambulia wewe wala nchi hii?’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Wako wapi manabii wako waliokutabiria wakisema, ‘Mfalme wa Babeli hatakushambulia wewe wala nchi hii’? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Wako wapi manabii wako waliokutabiria wakisema, ‘Mfalme wa Babeli hatakushambulia wewe wala nchi hii?’ Tazama sura |