Yeremia 37:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 ndipo Yeremia akatoka Yerusalemu, ili aende mpaka katika nchi ya Benyamini, alipokee huko fungu lake kati ya watu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Yeremia aliondoka Yerusalemu kwenda nchi ya Benyamini ili kupokea sehemu ya urithi wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Yeremia aliondoka Yerusalemu kwenda nchi ya Benyamini ili kupokea sehemu ya urithi wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Yeremia aliondoka Yerusalemu kwenda nchi ya Benyamini ili kupokea sehemu ya urithi wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Yeremia akaondoka mjini kwenda nchi ya Benyamini ili akapate huko sememu yake ya milki miongoni mwa watu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Yeremia akaanza kuondoka mjini ili kwenda nchi ya Benyamini ili akapate sehemu yake ya milki miongoni mwa watu huko. Tazama sura |