Yeremia 37:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Hata ikawa, jeshi la Wakaldayo lilipokuwa limevunja kambi yao mbele ya Yerusalemu, kwa kuliogopa jeshi la Farao, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Jeshi la Wakaldayo lilipoondoka Yerusalemu kuliepa jeshi la Farao lililokuwa linakaribia, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Jeshi la Wakaldayo lilipoondoka Yerusalemu kuliepa jeshi la Farao lililokuwa linakaribia, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Jeshi la Wakaldayo lilipoondoka Yerusalemu kuliepa jeshi la Farao lililokuwa linakaribia, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Baada ya jeshi la Wakaldayo kujiondoa kutoka Yerusalemu kwa sababu ya jeshi la Farao, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Baada ya jeshi la Wakaldayo kujiondoa kutoka Yerusalemu kwa sababu ya jeshi la Farao, Tazama sura |