Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yeremia 34:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

4 Hata hivyo lisikie neno la BWANA, Ee Sedekia, mfalme wa Yuda; BWANA asema hivi kukuhusu; hutakufa kwa upanga;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Lakini, ewe Sedekia, mfalme wa Yuda, mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi juu yako: Wewe hutauawa kwa upanga vitani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Lakini, ewe Sedekia, mfalme wa Yuda, mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi juu yako: Wewe hutauawa kwa upanga vitani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Lakini, ewe Sedekia, mfalme wa Yuda, mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi juu yako: Wewe hutauawa kwa upanga vitani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 “ ‘Lakini sikia ahadi ya Mwenyezi Mungu, ee Sedekia mfalme wa Yuda. Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu kuhusu wewe: Hutakufa kwa upanga,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 “ ‘Lakini sikia ahadi ya bwana, ee Sedekia mfalme wa Yuda. Hili ndilo asemalo bwana kukuhusu: Hutakufa kwa upanga,

Tazama sura Nakili




Yeremia 34:4
7 Marejeleo ya Msalaba  

Mikaya akasema, Sikieni basi neno la BWANA; Nilimwona BWANA ameketi katika kiti chake cha enzi na jeshi lote la mbinguni wamesimama mkono wake wa kulia na wa kushoto.


Lisikieni neno la BWANA, ninyi nyumba ya Yakobo, na ninyi, jamaa zote za nyumba ya Israeli.


naye atamchukua Sedekia mpaka Babeli, naye atakuwako huko hadi nitakapomjia, asema BWANA; mjapopigana na Wakaldayo hamtafanikiwa.


tena wewe hutaokoka mkononi mwake, lakini hakika utakamatwa, na kutiwa katika mikono yake; na utatazamana macho kwa macho na mfalme wa Babeli, naye atasema nawe mdomo kwa mdomo, nawe utakwenda Babeli.


utakufa katika amani; na kama walivyofukizia baba zako, wafalme wa zamani waliokutangulia, ndivyo watakavyokufukizia; na kukulilia wakisema, Aa, BWANA! Kwa maana mimi nimelinena neno hili, asema BWANA.


Simama langoni pa nyumba ya BWANA, ukatangaze hapo neno hili, ukisema, Sikilizeni neno la BWANA, ninyi nyote wa Yuda, mnaoingia katika malango haya ili kumwabudu BWANA.


Lisikieni neno la BWANA, enyi wana wa Israeli; kwa maana BWANA ana shutuma nao wakaao katika nchi, kwa sababu hapana kweli, wala fadhili, wala kumjua Mungu katika nchi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo