Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yeremia 34:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

12 Basi, neno la BWANA likamjia Yeremia, kutoka kwa BWANA, kusema,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Hapo neno la Mwenyezi-Mungu likamjia Yeremia:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Hapo neno la Mwenyezi-Mungu likamjia Yeremia:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Hapo neno la Mwenyezi-Mungu likamjia Yeremia:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Ndipo neno la Mwenyezi Mungu likamjia Yeremia kusema:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Ndipo neno la bwana likamjia Yeremia kusema:

Tazama sura Nakili




Yeremia 34:12
2 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini baadaye wakaghairi, wakawarudisha watumwa wale, na wajakazi wale, ambao wamewaacha huru, nao wakawatia utumwani wawe watumwa na wajakazi wao.


BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Nilifanya agano na baba zenu, siku ile nilipowatoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa, nikisema,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo