Yeremia 33:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Wanakuja kupigana na Wakaldayo, lakini ni kuzijaza kwa mizoga ya watu, niliowaua katika hasira yangu na ghadhabu yangu, ambao kwa ajili ya uovu wao wote nimeuficha mji huu uso wangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Watu watajaribu kuwakabili Wakaldayo lakini hiyo itakuwa bure, maana mahandaki yatajaa maiti za watu ambao nitawaua kwa hasira na ghadhabu yangu. Kwa vile wamefanya uovu huo wote, mimi nitauacha mji huu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Watu watajaribu kuwakabili Wakaldayo lakini hiyo itakuwa bure, maana mahandaki yatajaa maiti za watu ambao nitawaua kwa hasira na ghadhabu yangu. Kwa vile wamefanya uovu huo wote, mimi nitauacha mji huu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Watu watajaribu kuwakabili Wakaldayo lakini hiyo itakuwa bure, maana mahandaki yatajaa maiti za watu ambao nitawaua kwa hasira na ghadhabu yangu. Kwa vile wamefanya uovu huo wote, mimi nitauacha mji huu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 katika kupigana na Wakaldayo: ‘Zitajazwa na maiti za watu nitakaowangamiza kwa hasira na ghadhabu yangu. Nitauficha uso wangu kwa sababu ya maovu yake yote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 katika kupigana na Wakaldayo: ‘Zitajazwa na maiti za watu nitakaowachinja katika hasira na ghadhabu yangu. Nitauficha uso wangu kwa sababu ya maovu yake yote. Tazama sura |