Yeremia 33:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Maana BWANA asema hivi, Daudi hatakosa kuwa na mtu wa kuketi katika kiti cha enzi cha nyumba ya Israeli; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Maana mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Hapatakosekana kamwe mzawa wa Daudi atakayetawala Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Maana mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Hapatakosekana kamwe mzawa wa Daudi atakayetawala Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Maana mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Hapatakosekana kamwe mzawa wa Daudi atakayetawala Israeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Kwa maana hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu: ‘Daudi kamwe hatakosa mtu wa kukalia kiti cha utawala cha nyumba ya Israeli, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Kwa maana hili ndilo asemalo bwana: ‘Daudi kamwe hatakosa mtu wa kukalia kiti cha enzi cha nyumba ya Israeli, Tazama sura |