Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yeremia 32:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

6 Yeremia akasema, Neno la BWANA limenijia, kusema,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Yeremia akasema, Mwenyezi-Mungu alinena nami akasema:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Yeremia akasema, Mwenyezi-Mungu alinena nami akasema:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Yeremia akasema, Mwenyezi-Mungu alinena nami akasema:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Yeremia akasema, “Neno la Mwenyezi Mungu lilinijia kusema:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Yeremia akasema, “Neno la bwana lilinijia kusema:

Tazama sura Nakili




Yeremia 32:6
3 Marejeleo ya Msalaba  

Arauna akasema, Bwana wangu mfalme amemjia mtumishi wake kwa kusudi gani? Naye Daudi akasema, Nimekuja kununua kwako kiwanja hiki cha kupuria, ili nimjengee BWANA madhabahu, ili tauni ipate kuzuiliwa kwa watu.


naye atamchukua Sedekia mpaka Babeli, naye atakuwako huko hadi nitakapomjia, asema BWANA; mjapopigana na Wakaldayo hamtafanikiwa.


Tazama, Hanameli, mwana wa Shalumu, mjomba wako, atakujia, akisema, Jinunulie shamba langu lililoko Anathothi; maana haki ya ukombozi ni yako, ulinunue.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo