Yeremia 32:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Nawe, Ee Bwana MUNGU, umeniambia, Jinunulie shamba lile kwa fedha, ukawaite mashahidi; iwapo mji huu umetiwa katika mikono ya Wakaldayo; je! Itakuwaje? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Lakini, ee Mwenyezi-Mungu, wewe ndiwe uliyeniambia: “Nunua shamba kwa fedha na kuweka mashahidi,” ingawa mji wenyewe umetekwa na Wakaldayo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Lakini, ee Mwenyezi-Mungu, wewe ndiwe uliyeniambia: “Nunua shamba kwa fedha na kuweka mashahidi,” ingawa mji wenyewe umetekwa na Wakaldayo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Lakini, ee Mwenyezi-Mungu, wewe ndiwe uliyeniambia: “Nunua shamba kwa fedha na kuweka mashahidi,” ingawa mji wenyewe umetekwa na Wakaldayo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Ingawa mji utatiwa mikononi mwa Wakaldayo, wewe, Ee Bwana Mungu Mwenyezi, uliniambia, ‘Nunua shamba kwa fedha mbele ya mashahidi.’ ” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Ingawa mji utatiwa mikononi mwa Wakaldayo, wewe, Ee bwana Mwenyezi, uliniambia, ‘Nunua shamba kwa fedha, na jambo hilo lishuhudiwe.’ ” Tazama sura |
Basi Hanameli, mwana wa mjomba wangu, akanijia ndani ya ukumbi wa walinzi, sawasawa na lile neno la BWANA, akaniambia, Tafadhali, ulinunue shamba langu lililoko Anathothi, katika nchi ya Benyamini; maana haki ya urithi ni yako, na haki ya ukombozi ni yako; ujinunulie. Ndipo nikajua kama neno hili ni neno la BWANA.