Yeremia 32:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 ukawapa nchi hii, uliyowaapia baba zao kwamba utawapa, nchi itiririkayo maziwa na asali; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Uliwapa nchi hii ambayo uliahidi kuwapa wazee wao, nchi inayotiririka maziwa na asali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Uliwapa nchi hii ambayo uliahidi kuwapa wazee wao, nchi inayotiririka maziwa na asali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Uliwapa nchi hii ambayo uliahidi kuwapa wazee wao, nchi inayotiririka maziwa na asali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Uliwapa nchi hii uliyokuwa umeapa kuwapa baba zao, nchi inayotiririka maziwa na asali. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Uliwapa nchi hii uliyokuwa umeapa kuwapa baba zao, nchi inayotiririka maziwa na asali. Tazama sura |