Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yeremia 32:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

16 Hata nikiisha kumpa Baruku, mwana wa Neria, hati ile ya kununua, nilimwomba BWANA, nikisema,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Baada ya kumkabidhi Baruku mwana wa Neria, hati ya kumiliki shamba nilimwomba Mwenyezi-Mungu nikisema:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Baada ya kumkabidhi Baruku mwana wa Neria, hati ya kumiliki shamba nilimwomba Mwenyezi-Mungu nikisema:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Baada ya kumkabidhi Baruku mwana wa Neria, hati ya kumiliki shamba nilimwomba Mwenyezi-Mungu nikisema:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 “Baada ya kumkabidhi Baruku mwana wa Neria hii hati ya kununulia, nilimwomba Mwenyezi Mungu:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 “Baada ya kumkabidhi Baruku mwana wa Neria hii hati ya kununulia, nilimwomba bwana:

Tazama sura Nakili




Yeremia 32:16
7 Marejeleo ya Msalaba  

Wewe u mwenye haki, Ee BWANA, nitetapo nawe, lakini nitasema nawe katika habari ya haki. Mbona njia ya wabaya inasitawi? Mbona wote watendao hila wanakaa salama?


na ile hati ya kununua nikampa Baruku, mwana wa Neria, mwana wa Maaseya, mbele ya uso wa Hanameli, mwana wa mjomba wangu, na mbele ya mashahidi wale walioitia sahihi hati ya kununua, mbele ya Wayahudi wote walioketi katika ukumbi wa walinzi.


Neno hili ndilo ambalo Yeremia, nabii, alimwambia Baruku, mwana wa Neria, alipoyaandika maneno haya katika kitabu kwa kinywa cha Yeremia, mwaka wa nne wa Yehoyakimu, mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda, kusema,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo