Yeremia 31:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC35 BWANA asema hivi, awapaye watu jua, ili kuwa nuru wakati wa mchana, na amri za mwezi na nyota, ili kuwa nuru wakati wa usiku, aichafuaye bahari, hata mawimbi yake yakavuma; BWANA wa majeshi, ndilo jina lake; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Hivi ndivyo asemavyo Mwenyezi-Mungu, ambaye jina lake ni Mwenyezi-Mungu wa majeshi, aliyepanga jua liangaze mchana, mwezi na nyota vimulike usiku, na aifanyaye bahari iwe na mawimbi: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Hivi ndivyo asemavyo Mwenyezi-Mungu, ambaye jina lake ni Mwenyezi-Mungu wa majeshi, aliyepanga jua liangaze mchana, mwezi na nyota vimulike usiku, na aifanyaye bahari iwe na mawimbi: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Hivi ndivyo asemavyo Mwenyezi-Mungu, ambaye jina lake ni Mwenyezi-Mungu wa majeshi, aliyepanga jua liangaze mchana, mwezi na nyota vimulike usiku, na aifanyaye bahari iwe na mawimbi: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu, yeye aliyefanya jua liwake mchana, yeye anayeamuru mwezi na nyota kung’aa usiku, yeye anayeichafua bahari ili mawimbi yake yangurume; Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni ndilo jina lake: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Hili ndilo asemalo bwana, yeye aliyeweka jua liwake mchana, yeye anayeamuru mwezi na nyota kung’aa usiku, yeye aichafuaye bahari ili mawimbi yake yangurume; bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake: Tazama sura |