Yeremia 30:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Maana BWANA asema hivi, Tumesikia sauti ya tetemeko, na ya hofu, wala si ya amani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 “Mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Kumesikika kilio cha hofu sauti ya kutisha wala si ya amani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 “Mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Kumesikika kilio cha hofu sauti ya kutisha wala si ya amani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 “Mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Kumesikika kilio cha hofu sauti ya kutisha wala si ya amani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 “Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu: “ ‘Vilio vya woga vinasikika: hofu kuu, wala si amani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 “Hili ndilo asemalo bwana: “ ‘Vilio vya woga vinasikika: hofu kuu, wala si amani. Tazama sura |